New job vacancies at Halmashauri ya Wilaya ya Chato - Millkun

New job vacancies at Halmashauri ya Wilaya ya Chato

New job vacancies at Halmashauri ya Wilaya ya Chato
New job vacancies at Halmashauri ya Wilaya ya Chato

New job vacancies at Halmashauri ya Wilaya ya Chato;Chato ni mojawapo ya Wilaya tano za Mkoa wa Geita na ilianzishwa rasmi Julai 2006 kutokana
na kugawanywa kwa Wilaya ya Biharamulo. Wilaya ya Chato ina Halmashauri moja yaani
Halmashauri ya Wilaya ya Chato iliyoanzishwa rasmi Julai, 2007.

MIPAKA NA ENEO LA WILAYA

Wilaya ya Chato ipo Kaskazini Magharibi mwa Tanzania kati ya Latitudo 20 15’ hadi 30 15’ Kusini
mwa Ikweta na Longitudo 310 hadi 32o Mashariki ya Greenwich. Wilaya inapakana na Wilaya ya
Muleba Kwa upande wa Kaskazini, Wilaya ya Bukombe kwa upande wa Kusini, Wilaya ya
Biharamulo kwa upande wa Magharibi na Wilaya ya Geita kwa upande wa Mashariki. Wilaya ina
eneo la kilometa za mraba 3,572 na iko kwenye mwinuko wa kati ya meta 1,135 hadi 1,410 kutoka
usawa wa bahari.

New job vacancies at Halmashauri ya Wilaya ya Chato
New job vacancies at Halmashauri ya Wilaya ya Chato

APPLICATION TIMELINE

2024-03-14 2024-03-21

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

(i)Mtendaji Mkuu wa Serikali ya kijiji

(ii)Katibu wa Kamati ya kijiji

(iii)Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri  katika Kijiji

(iv)Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu Mipango ya Maendeleo katika Kijiji.

(v)Msimamizi wa Utekelezaji wa Sheria ndogo pamoja na Sheria nyingine zinazotumika katika Kijiji

(vi)Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu masuala  ya Ulinzi na Usalama.

(vii)Msimamizi wa Mtekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na Umasikini katika Kijiji.

(viii)Kusimamia Ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi.

(ix)Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa mwenye Elimu ya kidato cha Nne(IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala,Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

JOB APPLICATION

APPLY HERE; https://portal.ajira.go.tz