Nafasi za Kazi Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam 2023-millkun

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam 2023-millkun; Jiji la Dar es Salaam lipo kati ya Latitudo nyuzi 6 hadi 7 na Longitudo kati 39.45 kwa upande wa Mashariki na nyuzi 39 kwa upande wa Magharibi, Kusini mwa Ikweta na upande wa Magharibi, Kusini na Kaskazini. Jiji linapakana na Mkoa wa Pwani, upande wa Mashariki linapakana na Bahari ya Hindi, ambapo kuna ufukwe wenye urefu wa km. 124 unaoanzia Pemba Mnazi hadi Mbweni.

Jiji la Dar es Salaam lina eneo la ukubwa wa kilomita za Mraba zipatazo 1,800; kati ya hizo, kilomita za mraba 1,350 ni eneo la nchi kavu ikijumuisha visiwa vinane vilivyopo katika eneo la bahari ya Hindi na kilomita za mraba 450 ni eneo la maji ya bahari. Eneo la Jiji la Dar es Salaam ni sawa na asilimia 0.2 ya eneo la nchi nzima ambalo ni kilomita za mraba 881,289.

Jiji hili lina hali ya hewa ya Joto ya Pwani ya Tropical, likiwa na wastani wa nyuzi joto 25 hadi 33 sentigredi na wastani wa mvua wa mililita 1,000 katika misimu miwili ya vuli ambayo ni miezi ya Oktoba – Desemba na Masika ambayo huanza miezi ya Machi – Mei. Wakati mwingi Jiji hutawaliwa na pepo zivumazo toka baharini zikitokea Kusini, Mashariki na Kaskazini mwa Bahari ya Hindi.

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imekuwa inaliongoza Jiji kutoka mwaka 1961 mpaka mwaka 1972, ambapo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilizivunja Halmashauri zote nchini na kuwa chini ya Usimamizi wa Serikali Kuu (Madaraka Mikoani)

Serikali Kuu ilizirudisha Serikali za Mitaa Nchini, Chini ya Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Miji) na. 8 ya mwaka 1982, ambapo Halmashauri ya Jiji ilianza kutekeleza majukumu yake ya kutoa huduma kwa wananchi kuanzia mwaka 1983.

Mwaka 1996 Serikali Kuu iliivunja Halmashauri ya Jiji na kuunda Tume ya Jiji la Dar es Salaam, kwa Tangazo la Serikali Na. 110 na 111 ya tarehe 28 Juni mwaka 1996.

Tume ya Jiji ilifanya kazi kwa kipindi cha miaka minne, ambapo mwaka 2000 Serikali iliunda mamlaka nne za Serikali za Mitaa za Mkoa wa Dar es Salaam kwa sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Miji) Na. 8 ya Mwaka 1982, kama ilivyo rekebishwa kwa sheria na. 6 ya mwaka 1999.

Also read New job vacancy at Network Recruitment International-Territory Customer Services Manager

JOB POST

User Research Associate.

Job Responsibilities

• Administer and compile surveys for user feedback.

• Conduct focus groups and user interviews for general feedback.

• Conduct targeted customer research to investigate specific product issues and bugs.

• Coordinate the gathering of feedback from Loan Review, Customer Service, Servicing, and Finance teams for the creation of the Product Roadmap.

• Coordinate release announcements, including training of Loan Review, Customer Service, and Servicing teams on new functionality.

• Coordinate local routine feature/ app testing.

• Conduct market and competitor research.

TO APPLY CLICK THE LINK BELLOW;

https://jobwikis.com