From DSM Airport, the first cargo plane ‘Boeing 767-300F’ landed, the President testified

From DSM Airport, the first cargo plane ‘Boeing 767-300F’ landed, the President testified; From Dar es Salaam Airport today, this is how the first Boeing 767-300F cargo plane landed on June 03, 2023, which will solve the challenges of cargo transportation for businessmen in the country by transporting it cheaply and easily.
This plane has the capacity to carry 54 tons of cargo (equivalent to five and a half ton trucks per kilo), it has the ability to travel 11,070 air kilometers without refueling (equivalent to traveling for 10 hours without landing).

Its fuel tanks have a capacity of 90,770 liters, its wings are 47.6 meters long, it can also go at a speed of 850 kilometers per hour and it is 54.9 meters long.

From DSM Airport
From DSM Airport
Kutoka Airport Dar es salaam leo hivi ndivyo ilivyotua ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F June 03,2023 itakayokwenda kutatua changamoto za usafirishaji wa mizigo kwa Wafanyabiashara nchini kwa kusafirisha kwa gharama nafuu na kwa urahisi.

Ndege hii ina uwezo wa kubeba tani 54 za mzigo (sawa malori matano na nusu ya tani kumikumi), ina uwezo wa kusafiri kilometa 11,070 za angani bila kutua kuongeza mafuta (sawa na kusafiri muda wa saa 10 bila kutua).

Matanki yake ya mafuta yana uwezo kubeba lita 90,770, mabawa yake yana urefu wa meta 47.6, pia inaweza kwenda mwendokasi wa kilometa 850 kwa saa na ina urefu wa meta 54.9.

From DSM Airport
From DSM Airport.

For more information visit https://millardayo.com/picha-kutoka-airport-dsm-ndege-ya-kwanza-ya-mizigo-boeing-767-300f-ilivyotua-rais-ashuhudia/