Apply new job opportunity at (TEMESA)-AFISA UGAVI MSAIDIZI,The Tanzania Electrical, Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA) was established by the government notice No.254 published on 26th August, 2005 to take over the functions which were previously undertaken by the then Electrical and Mechanical (E&M) Division of the Ministry of Works. The Agency was created to further objectives of the Executive Agencies Act No. 30 of 1997 to make it provide efficient and effective electrical, mechanical, electronics services, reliable and safe ferry transport services and equipment hire services to government institutions and the general public.
Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) ni Wakala chini ya Wizara ya Ujenzi ulioanzishwa chini ya mamlaka ya sheria ya wakala za serikali Na. 30 ya mwaka 1997 kwa amri ya serikali na Waziri wa Ujenzi kupitia tangazo la serikali Na. 254 la tarehe 26 Agosti 2005,kuchukua majukumu ambayo hapo awali yalifanywa na Kitengo cha Umeme na Mitambo (E&M) cha Idara chini ya Wizara ya Ujenzi iliyokuwa na ari ya kuboresha huduma na kuongeza tija na ufanisi. TEMESA ilianzishwa mahususi kutoa huduma za Umeme, Mitambo na Elektroniki, Huduma za vivuko pamoja na Ukodishaji Mitambo kwa taasisi za serikali na Umma kwa jumla.
CONTACT OF TANZANIA ELECTRICAL,MECHANICAL AND ELECTRONICS SERVICES AGENCY(TAMESA)
TEMESA HOUSE,
Plot No. 10 Block D NCC Area,
Tambukareli street
P.O. BOX 1075,
DODOMA.
Phone number : +255 737962496
Toll free: 0800110379
Email: info@temesa.go.tz
Website: www.temesa.go.tz
JOB POST
AFISA UGAVI MSAIDIZI – 1 POST
APPLICATION TIMELINE
2022-08-24 2022-09-06
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kutunza na kupanga vifaa vilivyomo ghalani katika hali ya usafi na usalama;
ii.Kupokea vifaa vilivyonunuliwa kutoka kwa wazabuni;
iii.Kupokea vifaa ambavyo vimetumika lakini vinahitaji kutunzwa kabla ya kufutwa kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu zilizopo;
iv.Kufungua na kutunza “Bin Card” kwa kila kifaa kilichopo ghalani;
v.Kufungua leja (Ledger) ambayo itatunza kumbukumbu ya vifaa vinavyoingia, kutunzwa na kutoka ghalani;
vi.Kutoa vifaa kwa wateja na watumiaji kwa kuzingatia taratibu zilizopo;
vii.Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
- Kuajiriwa wenye Stashahada ya Ununuzi/Ugavi au Biashara iliyojiimarisha katika Ununuzi na Ugavi, kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali, au sifa inayolingana na hizo inayotambuliwa na Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi nchini (Procurement andSupplies Professionals and Technicians Board – (PSPTB);
- Awe amesajiliwa na PSPTB kama Procurement and Supplies Technician” au “Procurement and Supplies Full Technician”
- Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta.