Apply new job opportunity at (TEMESA)–DEREVA VIVUKO DARAJA LA II

Apply new job opportunity at (TEMESA)-, The Tanzania Electrical, Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA) was established by the government notice No.254 published on 26th August, 2005 to take over the functions which were previously undertaken by the then Electrical and Mechanical (E&M) Division of the Ministry of Works. The Agency was created to further objectives of the Executive Agencies Act No. 30 of 1997 to make it provide efficient and effective electrical, mechanical, electronics services, reliable and safe ferry transport services and equipment hire services to government institutions and the general public.

Also read Job vacancy at Alexandria For Programming- Installation/Maintenance/Repair IT/Software Development Engineering – Telecom/Technology

Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) ni Wakala chini ya Wizara ya Ujenzi ulioanzishwa chini ya mamlaka ya sheria ya wakala za serikali Na. 30 ya mwaka 1997 kwa amri ya serikali na Waziri wa Ujenzi kupitia tangazo la serikali Na. 254 la tarehe 26 Agosti 2005,kuchukua majukumu ambayo hapo awali yalifanywa na Kitengo cha Umeme na Mitambo (E&M) cha Idara chini ya Wizara ya Ujenzi iliyokuwa na ari ya kuboresha huduma na kuongeza tija na ufanisi. TEMESA ilianzishwa mahususi kutoa huduma za Umeme, Mitambo na Elektroniki, Huduma za vivuko pamoja na Ukodishaji Mitambo kwa taasisi za serikali na Umma kwa jumla.

Tanzania Electrical,Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA)
Tanzania Electrical,Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA)

CONTACT OF TANZANIA ELECTRICAL,MECHANICAL AND ELECTRONICS SERVICES AGENCY(TAMESA)

TEMESA HOUSE,

Plot No. 10 Block D NCC Area,

Tambukareli street

P.O. BOX 1075,

DODOMA.

Phone number : +255 737962496

Toll free: 0800110379

Email: info@temesa.go.tz

Website: www.temesa.go.tz

JOB POST

DEREVA VIVUKO DARAJA LA II – 1 POST

APPLICATION TIMELINE

2022-08-24 2022-09-06

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kuendesha na kuongoza Kivuko;

ii.Kutoa maelekezo ya kufunga na kufungua kamba  za Kivuko;

iii.Kusimamia usalama wa abiria na mizigo ndani ya  Kivuko;

iv.Kusimamia upangaji wa abiria na mizigo kwenye Kivuko;

v.Kuhakikisha kwamba injini ya Kivuko zipo katika hali nzuri ya kufanya kazi;

vi.Kuangalia mafuta na vyombo vingine vya kufanyia kazi;

vii.Kutunza daftari la safari za Kivuko;

viii.Kutunza nyaraka muhimu za Kivuko;

ix.Kusimamia  nidhamu na utendaji wa watumishi walio chini yake;

x.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

  • Awe  na elimu ya kidato cha nne;
  • Awe na ujuzi wa kuendesha na kutunza Kivuko uliothibitishwa na chuo cha Dar es Salaam Marine Institute au chuo kingine chochote kinachotambuliwa na Serikali kwa muda usiopungua miaka miwili. (Rating of Navigation Watch/Refresher Rating) ;
  • Awe amefuzu mafunzo ya miezi sita ya uokoaji wa maisha majini, kuogelea na kupanga watu na magari kwenye Vivuko (Mandatory courses /Refresher in mandatory courses).

TO APPLY FOR THE JOB CLICK THE LINCK BELLOW

Login to Apply

 

 

Leave a Comment